
Tuzo za EATVAWARDS 2016.Zimetolewa jana Usiku Katika Ukumbi Wa Mlimani City..Msanii Ali Kiba ndo msanii Aliyeweka rekodi ya kujinyakulia tuzo tatu jana usiku kupitia vipengele mbalimbali.Hawa ndo Wasanii Waliotumbuiza jana katika Utoaji Wa tuzo Darasa,Shetta,Barnaba, Wahuu,Vanessa Mdee,Lady jay Dee, Ali Kiba pamoja na Ommy Dimpoz.
Mgeni rasimi Alikuwa MH.NAPE NNAUYE Waziri wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo.
LIST YA WASHINDI WA TUZO ZA EATVAWARDS 2016.
MWANAMUZIKI BORA WA KIUME.
1.SHETTA
2.GNAKO
3.MWANA FA
4.BEN POL
5.ALI KIBA(WINNER)
MWANAMUZIKI BORA WA KIKE
1.VANESSA MDEE
2.RUBY
3.LINAH
4.LILIAN MBABAZI(UGANDA)
5.LADY JAY DEE(WINNER)
MWANAMUZIKI BORA CHIPUKIZI
1.FEZA KESSY
2.MAYUNGA
3.BRIGHT.
4.RUCKY BEBY
5.MAN FONGO(WINNER)
KUNDI BORA LA MWAKA
1.MASHAUZI CLASSIC
2.TEAM MISTARI(KENYA)
3.WAKALI WAO
4.SAUTI SOL(KENYA)
5.NAVY KENZO(WINNER)
VIDEO BORA YA MWAKA
1.SHETTA-NAMJUA
2.NAVIO-NJOGEREZA
3.JOH MAKINI-DON'T BOTHER
4.LADY JAY DEE-NDINDINDI
5.ALI KIBA-AJE(WINNER)
WIMBO BORA WA MWAKA
1.JOH MAKINI-DON'T BOTHER
2.LADY JAY DEE-NDINDINDI
3.BEN POL-MOYO MASHINE
4.NAVY KENZO- KAMATIA CHINI.
5.ALI KIBA-AJE(WINNER)
FILAMU BORA YA MWAKA.
1.FACEBOOK PROFILE
2.MFADHILI WANGU
3.HII NI LAANA.
4.NIMEKOSEA WAPI.
5.SAFARI YA GWALU(WINNER)
MUIGIZAJI BORA WA KIUME
1.DAUDI MICHAEL(DUMA)
2.MEYA SHABANI HAMISI
3.DOTTO HUSSEIN MATOTOLA
4.SAIDI MKUKILA
5.SALIM AHMED(GABO)(WINNER)
MUIGIZAJI BORA WA KIKE.
1.FRIDA KAJALA MASANJA
2.RACHEL BITHULO
3.KHADIJA ALLY
4.CHUCHU HANSY(WINNER)
TUZO YA HESHIMABONY LUV(WINNER) http://bejomp3.com/tazama-hapa-list-ya-washindi-wa-tuzo-za-eatvawards-2016.html Tuzo za EATVAWARDS 2016.Zimetolewa jana Usiku Katika Ukumbi Wa Mlimani City..Msanii Ali Kiba ndo msanii Aliyeweka rekodi ya kujinyakulia tuzo tatu jana usiku kupitia vipengele mbalimbali.Hawa ndo Wasanii Waliotumbuiza jana katika Utoaji Wa tuzo Darasa,Shetta,Barnaba, Wahuu,Vanessa Mdee,Lady MP3 #2016, #EATVAWARDS, #HAPA, #LIST, #TAZAMA, #TUZO, #WASHINDI
Tidak ada komentar:
Posting Komentar